Thursday, April 04, 2013

Hii ndo list ya wasanii watakao Perfom siku ya kuapishwa Rais mpya wa kenya Uhuru Kenyatta...


Top Kenyan Boy-band, Sauti sol ni moja ya watu watakao tumbuiza katika sherehe hizo za kuapishwa Rais mteule Uhuru Kenyatta tarehe 9 april Sports Complex siku ja jumanne.

                               Sarakasi Dancers
Pia watakuepo Rufftone, Ringtone na Sarakasi dancers,japo  baadhi ya mitandao ya Kenya ukiwemo mtandao wa Vibeweekly.com umeandika kulikuwepo na ahadi za performance  kutoka kwa  international artist kama Chris Brown, Rihanna, Rick Ross and Nicki Minaj lakini mpaka sasa hakuna taarifa zozote  za ujio wa ata mmoja wa wasanii hao ...

0 comments: