Friday, April 05, 2013

hivi ndivyo mkongwe katika Soccer Taribo West alivyo danganya umri wakati akitafuta team ya kuchezea .......


b_350_300_16777215_0___images_stories_taribowest.jpg
mchezaji huyo raia wa Nigeria ambaye alikuwa akicheza nafasi ya beki anadaiwa kudanganya umri wakati akijiunga na club ya Partizan Belgrade ya nchini serbia,siri hiyo imefichuliwa na alie kuwa rais wa club hiyo Zarko Zecevic .


kwa mujibu wa Zecevic, West alidanganya anamiaka  28 wakati akijiunga na Partizan mwaka  2002 na baadae club hiyo ikagundua alikuwa amepunguza miaka 12  kwani alikuwa ana miaka 40 na baada ya kubaini hilo bado aliendelea kuwa mchezaji wa timu hiyo coz alikuwa fit kwenye pitch . Zevenic amesema hawakujutia kuwa nae katika team
Taribo West pamoja na kuchezea team ya taifa ya nigeria kwa mafanikio lakini pia amecezea club tofauti kama  Internazionale, Auxerre na  A.C Milan

0 comments: