Wednesday, August 28, 2013

EXCLUSIVE:KALAPINA ATANGAZA NIA,KUGOMBEA UBUNGE -2015

1 comments

Baada ya kugombea udiwani wa kata ya Kinondoni katika uchaguzi uliopita kwa ticket ya chama cha CUF na kushindwa ,Kalapina amesema kwasasa anajipanga kuwania ubunge wa jimbo la kinondoni ambalo kwasasa lipo chini ya Iddy Azan..

Repota wa Swahiliinfo alimuuliza kama anampango wa kugomea tena baada ya kushindwa udiwani kwenye uchaguzi uliopita ‘’swali zuri sana mimi saivi naitwa mbunge wa kinondoni hivyo ntagombea uchaguzi ujao’’amesema kalapina..

Tuesday, August 27, 2013

VIDEO:TIZAMA MAKALA YA MWAKA 1999 INAYO ONESHA WAPI BONGO FLAVA ILIPO ANZIA..

0 comments
Hii ni documentary ya mwaka 1999 inazungumzia mziki wa Rap Tanzania ulipo anzia ,nimekutana nayo YouTube part I ikiwa imetizamwa na watu 24,771 nazani kama wewe ni fans wa wa muziki wa Rap/HipHop ya Bongo unastahili kuitizama ili kujua muziki wa kizazi kipya ni wapi umetokea..
Monday, August 26, 2013

TUSKER PROJECT FAME 6 KUANZA WEEKEND HII.

1 comments

TPF
Moja kati ya show kubwa Africa mashariki ya kutafuta vipaji vya uimbaji Tusker Project Fame inatarajia kuanza weekend hii sept 1..
Ambapo tutaanza kuona jinsi gani audition zilivyo fanyika,fununu pia zinasema Muimbaji kutoka Uganda Juliana Kanyomozi hatokuwa jaji tena safari hii na nafasi yake imechukuliwa na Anto Neosoul ..

DIDDY AKANUSHA KUWA ALIPIGANA NA J.COLE..VMAs

0 comments
 

Fununu zinasema kulikuwawepo na ugonmvi kati ya Diddy na  J. Cole wakati wa after party ya MTV video music awards mwishoni mwa wiki..

Saturday, August 24, 2013

KAMIKAZE:MAPRODUCER WA BONGO WATAFUTE UTAMBULISHO WA MUZIKI WETU 'IDENTITY'

0 comments
http://baabkubwamagazine.com/wp-content/uploads/2013/03/cyril.jpg

Cyrill aka Kamikaze ambaye kwasasa ametambulisha track mpya ‘’FUMBA MACHO’’ft Dulayo amesema sababu za wasanii wa kenya na uganda kupiga hatua katika muziki tofauti na watanzania ni kutokana na kuwa na utambulisho wa kipekee katika kazi zao..

Friday, August 23, 2013

TETESI:MADAM RITA KUMPELEKA MAHAKAMANI NEY WA MITEGO..

0 comments
 
Baada ya Ney Wa Mitego kutoa Track ya Salam Zao, Kuna tetesi Kuwa Muandaaji wa BSS Madam Rita anampango kumfungulia Kesi ya Madai Ney wa Mitego kwa Kumchafua (Defamation) 
kupia mistari iliosema .

''Hizi Salamu ziende kwa Madam Rita na bongo star search. 
Mshindi analipwa nini mbona kama magumashi?!
Namuona Walter Chilambo kapigika km zamani,
haji ramadhani kachoka yupo kitaani. Nauliza milioni hamsini zao anazila nani,
acheni ubabaishaji wekeni mambo hadharan'..

BURUDANI KITAA PART II BY@MICHAEL LUKINDO..

0 comments
BURUDANI KITAA PART II

Kwamara nyingine tena chukua time yako na kusikiliza habari za burudani kupitia burudani kitaa part II na Michael Lukindo.
#HEADLINES
>Inspector Harun achaguliwa kuwa balozi wa ......?
>Nsajigwa na Mwasika waishtaki yanga TFF...
>Je ?wajua ni mwezi gani watoto wengi huzaliwa ?
>Je ?wajua ni nchi gani inaongoza kwa watu wake kula chocolate?
Majibu yote yapo hapa fanya ku press play..

Thursday, August 22, 2013

KENDRICK LAMER AMEONGOZA KATIKA NOMINATIONS ZA BET HIP HOP AWARDS -2013.

0 comments
Kendrick Lamar

Kendrick Lamar Anaweza akawa sio mfalme wa New York lakini ni mfalme wa BET Hip-Hop Awards kwa mwaka huu baada ya kuongoza katika  nominations.

MKALI WA PRISON BREAK MICHAEL SCOFIELD AJITANGAZA KUWA NI SHOGA:

0 comments
Wentworth Miller1

Star wa "Prison Break",  Wentworth Miller  a.k.a Michael Scofield, amejitangaza kuwa yeye ni "Gay" (shoga), katika barua ya wazi aliyoiandika kwenda kwa Directoe wa St. Petersburg International Film Festival (tamasha la filamu la kimataifa la St. Petersburg)

Wednesday, August 21, 2013

AUDIO :BURUDANI KITAA PART I NA MICHAEL LUKINDO..

0 comments
 BURUDANI KITAA PART I
Tumia dakika kadhaa kusikiliza habari za burudani na Michael Lukindo .Burudani kitaa kwa hisani ya Soundcloud.
#HEADLINES
  • Mwasiti azungumzia kampeni ya TOKOMEZA ZIRO..
  • Rich mavoko ashanga jinsi anavyokubalika NCHI jirani..
  • Mkoloni hataki aitwe Mkongwe...

KANYE WEST AKATAA KUWA JUGDE WA AMERICAN IDOL.

0 comments

Vyanzo vya habari vime report kuwa Kanye West amekataa nafasi ya kuwa judge kwenye season mpya ya show ya kutafuta vipaji vya uimbaji (American Idol).
Vyanzo hivyo vimeendelea kusema kuwa Kanye amekataa ofa hiyo ya kuwa judge katika season ijayo (Season 13) kutokana na kuwa show ya kisasa sana "mainstream" 

Q-Jay 'ukitaka collabo na mimi ni mpaka roho mtakatifu anipe kibali"

0 comments
 

Miaka kadhaa iliopita Moja kati ya wasanii waliobalikiwa sauti ya kipekee Q-Jay alitangaza kuachana na Bongo Flava baada ya kuokoka na akasema atakuwa akifanya muziki wa gospel, sasa
SwahiliInfo.blogspot.com exclusive imepiga story na Q –jay na kuzungumzia maisha yake baada ya kuokoka ,muziki wa gospel ,na je anaweza kufanya collabo na msanii wa nyimbo za kidunia ?


Tuesday, August 20, 2013

VICTOR WANYAMA AMETHIBITISHA KUTOKA NA VICTORIA KAMANI.

0 comments

Kwa muda mrefu sasa mwanasoka Victor Wanyama ambaye kwasasa anachezea Southampton amekuwa akikataa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada wa Rapper Bamboo, Victoria Kimani.

TIWA SAVAGE KUFUNGA NDOA NA MANEGER WAKE.

0 comments

Tiwa-and-Tee-Billz-
Mkali wa ngoma kama Love Me Love Me na Kale Kale,Tiwa Savage kutoka Nigeria anatarajia kufunga ndoa na mchumba wake  Teebillz  ambaye pia ni maneger wake.
Wawili hao wamechagua Nov 23 kama siku ya ndoa yao ya kiasili itakayofanyika logos Nigeria  ..alafu sherehe ya ndoa yao wataifanya mwakani mwezi february katika visiwa vya  Maldive vilivyopo katika bahari ya hindi  .

Kanye West ahojiwa na mama mkwe wake,kwenye talk show..

0 comments

kris-kanye
Kanye West ataonekana kwenye interview ya aina yake  iliyofanywa na mama yake Kim Kardashian, ambaye ni mama mkwe wa Kanye ,Kris Jenner, kwenye talk show yake, Kris.

Jana, Kanye alirekodi kipindi cha saa nzima kwenye show hiyo itakayorushwa Ijumaa Aug. 23.

Kwenye interview hiyo, Kanye amefunguka kuhusu mwanae North, namna anavyoishi na familia ya Jenner, uhusiano wake na vyombo vya habari na mapenzi yake na Kim ambayo yalianza april mwaka 2012.

Monday, August 19, 2013

JUA KALI KUTOA ALBAM KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA.

0 commentsMkali wa genge kutoka 254 aka 25-flow Jua Cali amepanga kuachia albam yake ya tatu  katika siku yake ya kuzaliwa Sept 12 albam inaitwa “Tu Genge Yajayo” 

Star huyo wa “Genge” kwa sasa anafanyia kazi videos za ngoma zake mpya ambazo ameshaziachia kama “Tunge ijao”, “Baba yao” na “Si siri”. Jua Cali pamoja  “Jiachilie” ambayo pia itakuwepo kwenye hiyo albam.
Fans wa Genge hii sio ya kukosa ..

MKOLONI: NIKITAKA KUINGIA KWENYE SIASA NTASEMA.''KWASASA ALBAM INAKUJA''

0 comments

Kama hujua Mgosi Mkoloni ni mwanachama wa CHADEMA na Alisha wahi kufanya kazi kwa ukaribu na Mbunge wa mbeya mjini Joseph Mbilinyi 'SUGU' (CHADEMA).Sasa swahiliInfo.blog ilitaka kujua kama anampango wowote wa kugombea ngazi yoyote katika siasa..

‘’kila jambo naamini lina wakati wake wa kusema na kutenda ,lakini kwa sasa hivi siwezi kusema kama nataka kugombea hapana ,kwahiyo kikubwa tuombe uhai tuzidi kushirikiana kukiwa na lolote ndo maana kuna vyombo vya habari’

Thursday, August 15, 2013

NU JOINT: EMINEM IS BACK!

0 comments
hqdefault

Baada ya kimya cha miaka kadhaa  Eminem amerudi na track mpya “Survival”.
Survival inaonekana ni track ambayo ameitoa kutambulisha style mpya katika game inayoitwa  “Call of Duty: Ghosts”.

Wednesday, August 14, 2013

VIDEO:HUYU NDO MEMBER MPYA WA KONVICK MUSIC...

0 comments
Photo: Welcome to our newest member ZEWDY to the KONLIVE team. My lil African Queen. Lets get it baby #TeamAKON
Week hii mwanamuziki raia wa Senegal Akon amemtambulisha member mpya wa katika label yake Konvick music kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo Facebook ..Member huyo mpya anaitwa ZEWDY

Michelle Obama kutoa albam ya HipHop..

0 comments

Michelle Obama's "Let's Move" Hip Hop Album To Feature Doug E. Fresh, Travis Barker & DMC
Moja ya malengo ya  mke wa president Obama ,Michelle Obama kwa kipindi hichi ambacho yupo White house ni kueneza kampeni ya ubora wa afya kwa watoto .kampeni hiyo inaitwa  "Let's Move," ambayo itaambatana na albam ya hiphop..
Michelle amepanga kutoa albam ya hip hop kwa ajili ya kampeni hiyo "Let's Move" ili kuongeza ushawishi ..
Albam hiyo itakuwa na ngoma zitakazo husisha wa wakali kama DMC of Run-DMC, Doug E. Fresh, Travis Barker, Ashanti, Jordin Sparks, and Kidz in the Hall rapper Naledge. Ngoma hizo zititakuwa ni kwajili ya kuwahamasisha watoto wacheze na kutambua umuhimu wa afya bora.

Tuesday, August 13, 2013

KENDRICK LAMER KUJITA ''KING OF NEW YORK'' AWAKASIRISHA MARAPPER KIBAO..

0 comments


 Kendrick Lamar Big Sean Control
Baada ya Repper anayetabiliwa kuwa brand kubwa baadae Kendrick Lamar  kusema yeye ni king of New York kupitia verse alichana kwenye ngoma ya Big Sean ‘Control’ rappers kibao wamekasarishwa na kitendo hicho ..

AUDIO:NEY WA MITEGO AMJIBU WALTER CHILAMBO,AZUNGUMZIA LINEX KUKATAA KUPIGA CHORUS''SALAMU ZAO''

0 comments
Ney

Baada Walter chilambo Mshindi wa Epiq Bongo Star Search mwaka 2012kupinga  
 tuhuma nzito za Ney wa Mitego kupitia ngoma yake mpya ya ‘salam zao’ ambapo 
kuna lyrics zinasema  

Monday, August 12, 2013

KAMA UNAPENDA SNEAKER,TIZAMA MKUSANYIKO WA SNEAKER ZA DJ KHALED..

0 comments

DJ Khaled Sneaker Collection 2014 2013
DJ Khaled ameonesha mkusanyiko wa   Sneaker alizonazo kupitia  Instagram, ambazo inaonekana zinaongezeka kila siku .

ASTANTI NA JAH RULE WAKUTANA STUDIO ,KUFANYA COLLABO.

0 commentsBaada ya week kadhaa Ashanti kuzungumzia juu ya kuugana kwa mara nyingine tena  na Ja Rule ambaye ametoka jela hivi karibuni ili kufanya collabo kadhaa ,sasa zimeonekana pics kupitia instragam wakiwa studio ikionesha kwamba kuna vitu vinakuja.
Ashanti na Ja Rule walishawahi kutengeneza hits kadhaa kipindi wote  wakiwa katika label ya Murder Inc.najua unakumbuka track kama always on time..
 
 Ashanti pia kwasasa anafanyia kazi albam yake mpya 'BraveHeat' ambayo amedai kuwashirikisha Cool &Dre ,Meek mill ,French Montana na huenda Ja Rule pia akatokezea kwenye moja ya track za albam hiyo ilipangwa kutoka September 3, 2013 .
Jah Rule yeye kwasasa anajiandaa kutoa movie mpya‘Im in love with a church girl’ambayo itatoka oct 18.