Tuesday, August 27, 2013

VIDEO:TIZAMA MAKALA YA MWAKA 1999 INAYO ONESHA WAPI BONGO FLAVA ILIPO ANZIA..

Hii ni documentary ya mwaka 1999 inazungumzia mziki wa Rap Tanzania ulipo anzia ,nimekutana nayo YouTube part I ikiwa imetizamwa na watu 24,771 nazani kama wewe ni fans wa wa muziki wa Rap/HipHop ya Bongo unastahili kuitizama ili kujua muziki wa kizazi kipya ni wapi umetokea..

Katika documentary ambayo inametengenezwa dutch Madunia foundation , inawaonesha wasanii wakongwe katika Rap pamoja na wadau hasa watangazaji kwa kipindi hicho 1999 wakizungumzia rap ya bongo ,watu hao ni pamoja na Mr II ‘Sugu’,balozi,Soggy Doggy ,Inspector haroun,Saigon,X plastaz,Imam Abass ,Sebastian Maganga nawengine wengi ambao wanazungumzia mziki wa rap matatizo ,changamoto na walianzaje kuingia katika mziki huu.. Ukimaliza kutizama video hii utapata picha ni wapi mziku wa kizazi kipya umetokea na ni jinsi gani wakongwe wanavyostaili heshima kwa kuupigania mpaka leo watoto ,vijana ,watu wazima,wanaupemda na imekua ajira kubwa vijana wengi japo kuna matatizo ya hapa na pale … 
PART II NA III ZITAFUATIA..

0 comments: