Moja kati ya show kubwa Africa mashariki
ya kutafuta vipaji vya uimbaji Tusker Project Fame inatarajia kuanza weekend
hii sept 1.. Ambapo tutaanza kuona jinsi gani
audition zilivyo fanyika,fununu pia zinasema Muimbaji kutoka Uganda Juliana
Kanyomozi hatokuwa jaji tena safari hii na nafasi yake imechukuliwa na Anto
Neosoul ..
1 comments:
Mbona hujatupia washirik sasa bro?
Post a Comment