Friday, August 23, 2013

TETESI:MADAM RITA KUMPELEKA MAHAKAMANI NEY WA MITEGO..

 
Baada ya Ney Wa Mitego kutoa Track ya Salam Zao, Kuna tetesi Kuwa Muandaaji wa BSS Madam Rita anampango kumfungulia Kesi ya Madai Ney wa Mitego kwa Kumchafua (Defamation) 
kupia mistari iliosema .

''Hizi Salamu ziende kwa Madam Rita na bongo star search. 
Mshindi analipwa nini mbona kama magumashi?!
Namuona Walter Chilambo kapigika km zamani,
haji ramadhani kachoka yupo kitaani. Nauliza milioni hamsini zao anazila nani,
acheni ubabaishaji wekeni mambo hadharan'..

mistari ambayo inamaanisha  Madam Rita huwa hatoi zawad anazoziahidi kwa washindi wa shindano lake la kusaka Vipaji,
 Je Kama ni kweli kuhusu Kesi hii Ney wa mitego ataweza kulipa milioni 500? Tayari msanii huyo amesema yuko tayari kwenda mahakamani na ataweka mwanasheria wa kumtetea. 

0 comments: