Tuesday, August 13, 2013

KENDRICK LAMER KUJITA ''KING OF NEW YORK'' AWAKASIRISHA MARAPPER KIBAO.. Kendrick Lamar Big Sean Control
Baada ya Repper anayetabiliwa kuwa brand kubwa baadae Kendrick Lamar  kusema yeye ni king of New York kupitia verse alichana kwenye ngoma ya Big Sean ‘Control’ rappers kibao wamekasarishwa na kitendo hicho ..


Sehemu ya mistari ya K .Dote kwenye hiyo ngoma inasema "I'm important like the pope, I'm a Muslim on pork, I'm Makaveli's offspring, I'm the king of New York."
Kendrick anatokea Compton hivyo anawakilisha West Coast ,so anaposema yeye ni king of New York haogopi uwepo wa malegendary kama  Jay Z na Nas.
Sasa kupitia twitter fans kibao wa hiphop pamoja na rappers kadhaa  wamemponda K dot kutokana na mstari huo  kupitia twetter akiwemo Fabolous,joel Ortiz ,Joe budden ,Saigon na style P ..
 Joe Budden75. Fabolous
 65. Saigon
Kama hiyo haitoshi member wa Slaughterhouse joel Ortiz jana mchana aliachia ngoma inayoitwa ‘Outta Control”ambapo ndani kamchana K.dot kwa mistari inayosema
“Lil homie you ain’t the King Of New York/You the next thing on my fork…Maybe that’s why you left me out of that shit/Maybe that’s why the Slaughterhouse ain’t get dissed or maybe I’m not on your radar,”

0 comments: