Mkali wa ngoma kama Love Me Love Me na Kale Kale,Tiwa Savage kutoka Nigeria anatarajia
kufunga ndoa na mchumba wake Teebillz ambaye pia ni maneger wake.
Wawili hao wamechagua Nov 23 kama siku ya ndoa yao ya kiasili itakayofanyika
logos Nigeria ..alafu sherehe ya ndoa
yao wataifanya mwakani mwezi february katika visiwa vya Maldive vilivyopo katika bahari ya hindi .
0 comments:
Post a Comment