Monday, August 26, 2013

DIDDY AKANUSHA KUWA ALIPIGANA NA J.COLE..VMAs

 

Fununu zinasema kulikuwawepo na ugonmvi kati ya Diddy na  J. Cole wakati wa after party ya MTV video music awards mwishoni mwa wiki..

Fununu hizo zimesema wawili hao walianza kurushiana maneno ya chuki kabla ya kuanza kushikana na kasha ugimvi wao kuamliwa na walinzi ,na inadaiwa j cole alisindikizwa na walizi kutoka nje ya jengo,,
Kwenye mitandao ya kijamii hasa mtandao wa twetter raia walitweet kuthibitisha kuwepo kwa ugomvi huo..
 Lol @ J.cole in the elevator last night. We were going up and he was gettin thrown out for trying to fight diddy. #LifesFunny. S/O 2 him tho
Diddy amejibu fununu  hizo ,kwa kuthibitisha kuwa yeye na J cole bado ni marafiki kutitia mtandao wa twetter..
Diddy  @iamdiddy I usually don't address rumors but I got too much respect for my bro @JColeNC. We are friends. We just yell in public sometimes LOL #Fam

0 comments: