Thursday, August 15, 2013

NU JOINT: EMINEM IS BACK!

hqdefault

Baada ya kimya cha miaka kadhaa  Eminem amerudi na track mpya “Survival”.
Survival inaonekana ni track ambayo ameitoa kutambulisha style mpya katika game inayoitwa  “Call of Duty: Ghosts”.


Humo ndani kuna line zinazosema  “Wasn’t ready to be a millionaire / I was ill-prepared / I was prepared to be ill be though / the skill was there…”, Shady amendelea kudhibitisha ni moja ya rappers wakali ulimwenguni.
 “Survival” inaonekana ni track ya kwanza kwenye albam yake mpya ambayo itakuwa ni ya nane kuitoaa ,japo hakuna taarifa rasmi za kutoka kwa mzigo huo mpya lakini huenda ikawa ni mwakani
Silikiza track hiyo mpya ya Eminem hapo chini...

0 comments: