Tuesday, August 06, 2013

Nazizi atoa collaboration albam na Ginjah kutoka Jamaica.Rapper mkongwe Africa mashariki Nazizi kutoka nchini Kenya ameachia albam mpya 
ikiwa  ni collabo na muimbaji kutoka Jamaica Ginjah ambaye alikuwa nchini Kenya 
mwaka jana kwa ajili ya kushoot video .
 Nazizi amekuwa msanii wa pili kufanya kazi na msanii kutoka Jamaica ,
baada ya mkali mwingine kutoka necessary noice Wyle kufanya kazi na Morgan heritage
,Cecile na hivi karibuni amefanya track na alane ‘nakupenda pia’

Albam hiyo inaitwa MOTHERLAND ,Nazizi ameipigia promo kupitia twitter 
 
”To all askin fr new tracks don’t forget MOTHERLAND Nazizi Ginjah album is out now
 place u r order now or buy online.”

0 comments: