Tuesday, August 20, 2013

Kanye West ahojiwa na mama mkwe wake,kwenye talk show..


kris-kanye
Kanye West ataonekana kwenye interview ya aina yake  iliyofanywa na mama yake Kim Kardashian, ambaye ni mama mkwe wa Kanye ,Kris Jenner, kwenye talk show yake, Kris.

Jana, Kanye alirekodi kipindi cha saa nzima kwenye show hiyo itakayorushwa Ijumaa Aug. 23.

Kwenye interview hiyo, Kanye amefunguka kuhusu mwanae North, namna anavyoishi na familia ya Jenner, uhusiano wake na vyombo vya habari na mapenzi yake na Kim ambayo yalianza april mwaka 2012.

0 comments: