Wednesday, August 21, 2013

KANYE WEST AKATAA KUWA JUGDE WA AMERICAN IDOL.


Vyanzo vya habari vime report kuwa Kanye West amekataa nafasi ya kuwa judge kwenye season mpya ya show ya kutafuta vipaji vya uimbaji (American Idol).
Vyanzo hivyo vimeendelea kusema kuwa Kanye amekataa ofa hiyo ya kuwa judge katika season ijayo (Season 13) kutokana na kuwa show ya kisasa sana "mainstream" 


producers wa American Idol walitarajia kuwa na Will.i.am Sean Diddy Combs na Rodney Jenkins katika meza ya ma jugde ,lakini mwisho wasiku inaonekana  watakuwa na songwriter and record producer Dr. Luke, ambaye ataungana na Keith Urban pamoja na Jennifer Lopez..

0 comments: