Tuesday, August 20, 2013

VICTOR WANYAMA AMETHIBITISHA KUTOKA NA VICTORIA KAMANI.


Kwa muda mrefu sasa mwanasoka Victor Wanyama ambaye kwasasa anachezea Southampton amekuwa akikataa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada wa Rapper Bamboo, Victoria Kimani.


lakini sasa ni kama imedhibiotishwa,.Victoria kwasa yupo uingereza amekuwa akispend muda mwingi na wanyama na kihudhulia mazoezi ya ya wanyama ..

weekend iliopita Wanyama kupitia twetter ali post picha hiyo hapo chini akiwa na Victoria Kimani na kuandika  With my ….@victoria Kimani.. kitendo kilicho tafsiliwa kama utambulisho tosha wa wawili kuwa ni wapenzi

0 comments: