Monday, August 12, 2013

KAMA UNAPENDA SNEAKER,TIZAMA MKUSANYIKO WA SNEAKER ZA DJ KHALED..


DJ Khaled Sneaker Collection 2014 2013
DJ Khaled ameonesha mkusanyiko wa   Sneaker alizonazo kupitia  Instagram, ambazo inaonekana zinaongezeka kila siku .

DJ Khaled Sneaker Collection 2014 2013
kama ilivyo kwa watu maarufu wengi kupenda kutumia vitu ambavyo ndo kwanza vimetoka (latest brand)ndivyo ilivyo kwa Dj Khaled ambaye ametuonesha viatu vyenye brand ya Jordan na Reebok vilivyotoka mwaka huu 2013..
DJ Khaled Sneaker Collection 2014 2013
dj khaled jordan nike collection

0 comments: