Wednesday, August 14, 2013

Michelle Obama kutoa albam ya HipHop..


Michelle Obama's "Let's Move" Hip Hop Album To Feature Doug E. Fresh, Travis Barker & DMC
Moja ya malengo ya  mke wa president Obama ,Michelle Obama kwa kipindi hichi ambacho yupo White house ni kueneza kampeni ya ubora wa afya kwa watoto .kampeni hiyo inaitwa  "Let's Move," ambayo itaambatana na albam ya hiphop..
Michelle amepanga kutoa albam ya hip hop kwa ajili ya kampeni hiyo "Let's Move" ili kuongeza ushawishi ..
Albam hiyo itakuwa na ngoma zitakazo husisha wa wakali kama DMC of Run-DMC, Doug E. Fresh, Travis Barker, Ashanti, Jordin Sparks, and Kidz in the Hall rapper Naledge. Ngoma hizo zititakuwa ni kwajili ya kuwahamasisha watoto wacheze na kutambua umuhimu wa afya bora.

0 comments: