Monday, August 19, 2013

JUA KALI KUTOA ALBAM KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA.
Mkali wa genge kutoka 254 aka 25-flow Jua Cali amepanga kuachia albam yake ya tatu  katika siku yake ya kuzaliwa Sept 12 albam inaitwa “Tu Genge Yajayo” 

Star huyo wa “Genge” kwa sasa anafanyia kazi videos za ngoma zake mpya ambazo ameshaziachia kama “Tunge ijao”, “Baba yao” na “Si siri”. Jua Cali pamoja  “Jiachilie” ambayo pia itakuwepo kwenye hiyo albam.
Fans wa Genge hii sio ya kukosa ..

0 comments: