Monday, May 13, 2013

Hii ndo michoro alio chora Chris Brown nje ya nyumba yeke na kulalamikiwa na majirani zake....

Nje ya music  Chris Brown anapenda sana  graffiti.sasa aliamua kuweka sanaa yake hiyo ya michoro nje ya nyumba yake ,pande za  Hollywood Hills Los Angeles na kupelekea majirani zake kumaind wakidai amevunja sheria.
Hii si mara ya kwanza kwa chris brown kulalamikiwa na majirani zake,kwani alishawahi kulalamikiwa na jirani zake juu kuwepo kwa kelele za party na kuendesha magari kwa kasi.
Updates za habari hii ni kwamba , mtandao wa Rap up umeandika chris brown amelipishwa faini ya dola 376 kutokana na kushindwa kuondoa michoro hiyo ndani ya siku 30 kama alivyopangiwa na mamlaka husika ,
Majirani wa chriss brown wakiielezea michoro hiyo wamesema ni kama picha za mashetani ,picha za watu mwenye macho na meno makubwa zinawaogopesha wakina mama na watoto alisema  mmoja wa majirani hao..

Baada ya habari hii kuenea chris hakukaa kimya alitweet...0 comments: