Tuesday, May 07, 2013

Freach Montana adai kuishi na watoto wa TIGER..Kulikuwepo na taarifa kupitia  MTV News kuhusu rapper  French Montana akidai anamiliki watoto wa chui aina ya tiger ambao wataonekana katika video yae ya "Gifted" sasa habari hizo amezithitishwa mkali hiyo kutoka badboys Ent..
Week iliyopita French akizungumzia video hiyo alisema amewanunua na  anaishi nao nyumbani kwake na baada ya muda akapost picha kwenye instagram akiwa na watoto wa chui.

na akasema anawalisha chochote anachokula 

0 comments: