Thursday, May 09, 2013

Ja rule atoka jela...Platinum-selling rapper Ja Rule hatimaye jana ametoka jela baada ya kumaliza kutumikia kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kukwepa kulipa kodi na kutumia silaha kinyume na sheria.
Ja rule ameachiwa huru jana huku akiwa miezi miwili ya kuendelea kukaa jela kutokana na muda aliokua amehukumiwa ,alipokelewa na mkewe na kupelekwa nyumban ambako atakuwa na kifungo cha nyumbani yani "home arrest" mpaka july 28.
Jombaa mwenye miaka 36 hivi sasa anadaiwa kukwepa kulipa kodi zaidi ya dola million 3 kati ya mwaka 2004 na 2006..


0 comments: