Monday, May 27, 2013

Hawa ndo Wawakilishi wa BBA kutoka Tanzania ...


bigbrother the chace imeanza jana na watanzania wengi tulikuwa na hamu ya kujuwa wawakilishi wao, hatimaje imejulikana ni ammy nando mwenye miaka 22 ambaye ni actor na ni modal ambaye maisha
na shughuli zake amekuwa akizifanya los angels ,colofonia nchini marekani mmm
Ammy Nando..
wapili ni fadha kessy ambaye aliwahi kuwa miss dar city centre na hivi karibuni aliingia rasmi kwenye mziki na kuachia single yake ya kwanza "Amani ya Moyo",
na kazi zake zinasimamiwa na kampuni ya Ay ,Unity entertainment
                                                         Feza Kessy Katika Pozi na Rosey

0 comments: