Wednesday, August 27, 2014

Albam ya Wiz Khalifa yakamata nafasi ya kwanza Billboard 200

0 comments

 Wiz Khalifa
Kiongozi wa  Taylor Gang Wiz Khalifa amefanikiw  kwa mara ya kwanza albam yake  kukamata nafasi ya kwanza kwenye Billboard 200  wiki hii

Tuesday, August 05, 2014

Davido aelezea mazungumzo kati yake na Drake kufanya Collabo.

0 comments
 Davido aelezea mazungumzo kati yake na Drake kufanya Collabo
Msanii wa Nigeria, Davido anaendelea kusaka nafasi ya kuwa kati ya wasanii wakubwa zaidi sio tu Afrika bali dunia nzima kwa ujumla.
Siku kadhaa baada ya kutangaza collabo na Meek Mill na Rick Ross, mwimbaji huyo wa ‘Aye’ ameiambia Encomium kuwa yuko katika mazungumzo na rapper wa Young Money, Drake kwa ajili ya kufanya collabo kwa usimamizi wa Don Jazzy.