Wednesday, July 31, 2013

DJ KHALED AKUBALI KUWA ULIKUWA NI UTANI KUMTAKA NICKI MINAJ.

0 commentsBaada ya kushikilia msimamo wake kuwa yupo serious kutaka kumuoa nicki minaj kufuatia interview alioifanya na MTV news, hatimaye Dj Khalid amekili kuwa alikuwa anafanya utani .

Video:Ray J amkejeri Kanye West

0 comments

Ray J Mocks Kanye West's Paparazzi Altercation
Ray J amkejeri kanye west juu ya kitendo chake cha kumpiga paparazzi  wakati akiwa nje ya  Hollywood nightclub. 

Katika video iliowekwa kwenye mtandao wa Gossip za watu maarufu TMZ inamuonesha Ray j akifanya kitendo kama alicho kifanya kanye west akiwa airport  kwa paparazzi siku chache zilizopita , lakini yeye kwenye hiyo video anaonekana akizozana na paparazzi kimasiara zaidi na kutokana na maneno aliyo yatumia inatafsiliwa ni kejeri kwa Kanye West.

''GANGSTA'' HIT MAKER KAT DAHLIA AINGIA MATATANI...

0 comments


Kat Dahlia inaonekana ali kula bata kupita kiasi wakati akisherehekea siku yake ya  kuzaliwa na kujikuta mikononi mwa police.mkali huyo wa ngoma ya Gangsta alikamatwa asubuhi ya jana jumanne pande za Miami akiwa amelewa ..

Tuesday, July 30, 2013

kambi ya vijana ( IYF 2013 world camp tanzania ) yazinduliwa leo Dar

0 comments


Dkt,Mh. Fenella Mukangara  

NA Godwin Mmari
Waziri wa habari vijana, tamaduni na michezo Dkt,Mh. Fenella Mukangara amezindua rasmi kambi ya vijana kutoka mikoa na nchi mbalimbali jijini Dar es salaam ijulikanayo kama IYF 2013 WORD CAMP TANZANIA.

mume wa Keyshia COLE ajisalimisha police.

0 comments


Mume wa  muimbaji  Keyshia Cole Daniel “Boobie” Gibson ambaye ni mchezaji wa kikapu katika ligi ya NBA akichezea Cleveland Cavaliers anakabiliwa na mashitaka ya kujibu .

Monday, July 29, 2013

KUMBE DJ KHALID KUMTAKA NICKI MINAJ ILIKUWA NI KICK YA NGOMA YAKE MPYA 'I WANNA BE WITH YOU''

0 comments
IFWT_nicki_khaled_1

Funkmaster Flex wa Hot 97 jana Alimpigia simu Nicki kuielezea video hiyo  ya MTV News iliyomuonesha Dj Khaled akielezea jinsi anavyompenda rapper huyo na pia kutoa pete ya thamani aliyopanga kumvisha.

“Nilishtuka kama dunia yote, nilikuwa nikicheka kama wengine DJ Khaled ni master katika kile anachokifanya,”alisema Nicki.

Wizkid na RAPPER wale wakutana na kula bata LondOn,wizkid atoa kituko..

0 comments


Untitledy
Jana Rapper kutoka MMG (Mayback Music )Wale alitweet kuhusu kukutana na Star-Boy kutoka Nigeria Wizkid pande za London.ukumbuke kuwa Wale ni Mmarekani mwenye asili ya Nigeria ..
baada ya kukutana wali hung out katika club moja huko  London.
Wizkid aliamua kumuonesha Wale kuwa na yeye ni   gangster , kwa mujibu wa Tweet ya Wale Wizkid alimmwagia kinywaji Raia mmoja alikuwa ana act kapagagwa ndani ya club..
Untitled (1)

Friday, July 26, 2013

TIMBALAND:AMUOMBA MSAMAHA CHRIS BROWN BAADA YA KU DISS COLABO YAKE NA AALIYAH

0 comments
Timbaland: "Why Would I Commit Suicide?" (thumbnail) 

Baada ya producer Timbeland kukaliliwa na Revolt tv akidiss collabo za Chris brown na Drake walizofanya na marehemu Aliayah,kwa madai  kuwa hazikustaili kufanyika kwa kuwa hawaja muhusisha yeye kama producer aliekuwa anasimamia kazi za Aaliyah mpaka kifo chake kinamkuta ,sasa jamaa amemuamba msamaha Chris Brown kupitia twetter

Thursday, July 25, 2013

is it serious?Dj khaled ataka ndoa na ymcmb queen Nicki Minaj..

0 comments


 
Mkali wa kuwakutanisha wasanii wengi kwenye ngoma moja  DJ Khaled  ameonesha kuto kuwa na nishai na kuweka hisia zake wazi kwa Nicki Minaj .kafanya hivyo wakati akifanya interview MTV News, DJ Khaled ameamua kumpa special offer Nicki, na kukili kumtaka kimapenzi  na angependa afunge nae ndoa.

PNC:''LongoLongo za wasambazaji siwezi kutoa albam ya pili''

0 comments

Wewe hit maker PNC amepiga story na SwahiliInfo.kuhusiana na kazi zake za muziki ,kikubwa alichozungumzia ni kukataa kutoa albam ya pili kutokana na longolongo zilizopo kwenye usambazaji..

Belle 9 kutoa albam ya pili mwaka huu

0 comments
 

Belle 9 akipiga story exclusive na SwahiliInfo.blog amesema atatoa albam ya pili kabla ya mwaka huu haujaisha itaitwa ‘Vitamin music’ na kuwashirikisha Hard mad ,Linex ,Joe Makin na wengineo , naanataraji kutoa single ya kuitambulisha albam hiyo..

Wednesday, July 24, 2013

Wafahamu wakongwe watatu katika R&B waliunda kundi TGT..

0 comments
File:3 Kings (album).jpg
TGT ni kundi la R&B lililoundwa mwaka 2007 likiwakutanisha  wasanii watatu wenye mafanikio katika R&B,Tyrese,Ginuwine,na Tank . Wote watatu wamekuwa marafiki kwa kipindi kirefu  Tyrese  alikuwa best man katika ndoa ya Ginuwine ..

Tuesday, July 23, 2013

lyrics za ngoma mpya ya ney wa mitego ni ''hatare''

0 comments

mara zote Ney wa Mitego amekuwa akizungumza vitu moja kwa moja katika ngoma zake bila kuficha ficha  utaratibu ambao anaonekana kuuendeleza katika ngoma zake baada ya kuchapisha baadhi ya mistari ya ngoma yake mpya itakayokuja ,kafanya hivyo kupitia mitandao ya kijamii.

Today Football Transfer News & Rumors

0 comments
Manchester United given £100m for Bale and Fabregas
Manchester United's owners, the Glazer family, will make available £100 million this summer so David Moyes can sign both Gareth Bale and Cesc Fabregas.

Napoli close to Higuain & Reina

Napoli are said to be waiting on the go ahead from Gonzalo Higuain to complete a move for the Real Madrid striker, while the Partenopei are also hopeful of sealing a loan move for Liverpool's Pepe Reina.


Milan to continue Honda talks on Tuesday
AC Milan spoke with Hiro Honda, Keisuke's brother and agent, about a move for the CSKA midfielder, with further talks to continue on Tuesday over a move to San Siro.


Liverpool to sign Cissokho on loan
Liverpool are close to to agreeing a loan deal for Valencia left-back Aly Cissokho. The Reds are hopeful of a deal that could include an agreement to sign the player permanently next summer.

Monday, July 22, 2013

Msala wa kurushiana chupa ,Drake na Chris Brown wafutwa..

0 comments


Habari njema kwa Drake na Chris Brown wamefutiwa madai ya dola million 16 na GreenHouse nighthouse kufuatia ugomvi wa kurushiana chupa walio usababisha katika nightclub  hiyo mwezi june mwaka jana..

  Club hiyo ilitaka kulipwa pesa hizo kwa madai club hiyo pamoja na uharibifu uliotokea  ilitangazwa vibaya kitu kilichosababisha hasara.
 
Drake alipingana na madai hayo akidai hausiki na kutangazwa vibaya kwa club hiyo kitu ambacho kiliungwa mkono na jugde wa kesi hiyo
 

Thursday, July 18, 2013

Busta Rhymes +New Albam = E.L.E. 2….

0 comments


Mashabiki wa rap wamekuwa wakisubiria kwa hamu kubwa albam ya kwanza ya Busta Rhymes tangu ajiunge katika label ya  Cash Money ,sasa Busta Rthymes ametoa jina rasmi la hiyo albam baada ya kuachia single ya kwanza ‘Twerk It’
Albam hiyo itaiwa E.L.E. 2. Ikiwa ni muendelezo wa albam yake ya mwaka 1998   E.L.E (Extinction Level Event): The Final World Front

Wednesday, July 17, 2013

mwanasoka nigeria matatani kwa kukwepa kulipa kodi nchini ufaransa ..

0 comments

 
Beki wa kushoto raia wa Nigeria  Taiye Taiwo amepatikana na kesi ya kujibu nchini ufaransa kwa madai ya kukwepa kulipa kodi nchini humo.

Mamlaka ya mapato nchini ufaransa imesema mchezaji huyo mwenye miaka 28 ambaye alikuwa anachezea Marseilles kati ya  2005 na 2011,   alikwepa kulipa kodi ya mapato/ income taxes/ kati 2008 na 2009 na pia anadaiwa kuto kulipa kodi ya mali / property taxes/ mwaka  2011

VIDEO ;LL COOL J NI KAMA AMEDISS MAUZO YA ALBAM YA JAY Z “Magna Carta”

0 comments
LL Cool J Performing

Legendary rapper LL Cool J ameonekana sio shabiki mkubwa wa rapper anapendwa na watu wengi Jay-Z.kwa kuonekana kupinga mauzo ya  albam mpya ya jay “Magna Carta Holy Grail.” Ambayo ilitangazwa platinum katika siku yake ya kwanza kutoka ,mwanzo walishawahi kukwaruzana wakati Jay  z akiwa rais wa Def Jam na LLakiwa katika iyo label akasema kufanya vibaya kwa albam yake ya  “Todd Smith”  ni kwasababu haiku promotiwa vizuri  ..

audio;Joh makini akizungumzia albam ya pamoja na nikki wa pili...

0 comments
 

Ndugu wa wawili kutoka WEUSI , group la hiphop  linalowakilisha kaskazini mwa Tanzania Joh Makini na Nikki wa pili baada ya kufanya kazi nyingi pamoja sasa wameamua kutengeneza albam ya pamoja ..

Tuesday, July 16, 2013

Darasa kutoa albam katika siku yake ya kuzaliwa ,september 3 !

0 comments


Darasa akiiungumza exclusive na swahiliinfo.blogspot.com kuhusiana na ngoma yake mpya ‘’Weka Ngoma’’ akiwa amemshirikisha Ditto amesema hii ni ngoma ambayo aliikuta ngoma records kwa Tuddy Tomas ikiwa tayari ni beat chorus hivyo akatia verses zake .

AKON AWATAKA BLACK AMERICANS KURUDI AFRICA..

0 comments
akon african american move to africa

Kufuatia mauaji ya kijana asie na hatia Trayvon Martin ambaye ni muamerika mweusi ambaye alipigwa risasi na George Zimmerman ,muimbaji wa kimarekani mwenye asili ya Senegal  Akon amewataka wamarekani mwenye asili ya afrika kurudi afrika kwa madai amerika sio kwao  .

CHRIS BROWN AKIUKA TARATIBU ZA UCHUNGUZI KESI YA KUMPIGA RIHANA ,HUENDA AKAENDA JELA MIAKA MINNE..

0 comments

 Chris Brown
Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa jaji anaesimamia kesi ya Chris Brown ya miaka mitano iliopita ya kupiga Rihana/ 2008/amesitisha kipindi cha uangalizi wa kesi kwa madai chris alikataa kuwasilisha taarifa za lessen yake ya udereva..

Sunday, July 14, 2013

Ice Prince kufanya kazi na French Montana ‘Fire of Zamani’

0 comments
ice prince and french montana

mkali kutoka nigeria Ice Prince baada ya kuchukua tuzo BET week iliyopita kupitia International Act: Africa amedhibitisha kufanya collabo ya kimataifa na member wa Bad Boy Records/MMG French Montana.Ice prince anatarajia kuachia ngoma alioipa jina la Fire of Zamani  akiwa na rapper huyo wa marekani ambaye ni mzaliwa wa morocco..
Studio Finally! With @frenchmontana, and we made a Classic!!! Stay Tuned..‘,
Ice Prince aliandika maneno hayo  Instagram na kuambatanisha picha akiwa na Montana ..‘Fire of Zamani’ inatarajia kutoka  September 7, 2013.

Obafemi Martins apamba viti vya nyumba yake kwa jezi za timu alizowahi kuchezea...

0 comments
 
Mchezaji raia wa Nigeria Obafemi Martins 28 ameamua kuonesha heshima katika club alizo wahi kuziochezea kwa kuweka cover za jersey za timu hizo kwenye viti vya nyumbani kwake vilivyopo   sehem ya kulia chakula  
Martins ambaye ameshachezea club zaidi ya nane ikiwemo Reggiana, Inter Milan, Newcastle, Wolfsburg, Rubin Kazan, Birmingham, Levante na sasa anacheza liga ya marekani  MLS  katika club ambayo mtanzania Mrisho ngasa alishakufanya majaribio Seattle Sounders.

Martins katika viti hivyo vya  dining room  amewekea macover ya jezi zikiwa na number aliokuwa anaivaa katika timu husika pamoja na jina lake ..

video; kanye west amshambulia PAPARAZZI.

0 comments

Mfahamu binti wa miaka 16 /WondaGurl/alitengeneza beat kwenye albam ya jay z

0 comments
wondagurl in studio with jay z

Moja ya habari zinazizungumzwa sana kwenye mtandao ni producer wa miaka 16  WondaGurl, ambaye ameshiriki katika kutengeneza beat kwenye albam ya Jay Z Magna Carta… Holy Grail. Ambayo imetangazwa  platinum
Ebony Oshunrinde aka  WondaGurl mcanada mwenye asili ya Nigeria  jina jipya katika production  ya beat za hiphop ametengeneza track ya  “Crown,” kutoka kwenye albam ya jay z WondaGurl alianza kutengeneza beats tangu akiwa na miaka 9 alijifunza kupitia video  clip na ilikuwa inspired za timbaland.akiwa na miaka 14 alishriki mashindano ya kutengeneza beats mjini   Toronto/ Battle of the Beatmakers /lakini akaishia robo fainali lakini alishiriki tena mwaka uliofuatia na akawa mshindi wa kwanza  mafanikio alianza kuyapata baada ya kusign   Black Box.
 

Friday, July 12, 2013

fans wam-maindi prezzo baada ya kum-diss Diamond !

0 comments
Prez1
 Tweet ya prezzo iliotafusiria kama tusi kwa kumu-enjoy diamond na mdomo wake..
Jamaa hakuishia hapo aliendelea kutweet kuhusu diamond

FAHAMU :NICKI MINAJ KUINGIA KATIKA MOVIE INDUSTRY ..

0 comments


Nicki Minaj amesema ataingia katika uigizaji wa filamu baada ya kutoa albam nyingine za rap....
Baada ya kujitoa kuwa jugde katika   "American Idol", Nicki Minaj amezungumzia mipango yake ya kuendelea kuwepo katika rap at the same time kuingia katika movie ,akiwa anajiandaa kutokea katika film ya Cameron Diaz "The Other Woman" na Nick Cassavetes akiwa ndo director.
Akipiga story na Marie Claire magazine ungumzia uwoga alionao katika movie yake ya kwanza kuifanya

WANYAMA :MKENYA WAKWANZA KUCHEZA EPL

0 comments
Kiungo wa kimataifa wa Kenya amesajiliwa rasmi na klabu ya Southmpton ya England akitokea klabu ya Celtic ya Scotland.
Wanyama ambaye alikuwa akitakiwa na vilabu kadhaa ikiwemo Arsenal na Liverpool, amesaini mkataba wa miaka minne kuichezea Southmpton iliyonusurika kushuka daraja msimu uliopita.

Wednesday, July 10, 2013

Profesa Jay afiwa na mama yake mzazi..

0 comments

Kwa Mujibu Wa Gardner G Habash aliye kuwa karibu na rapper Profesa Jay, Leo Jioni Walipata taarifa kuwa mama yake mzazi amepata ajali na yupo kituo cha polisi akichukua PF3 ili akapate matibabu.
 
 
Baada ya Profesa kupokea simu, palianza kuwa na tatizo la mawasiliano, Profesa alimpigia simu Mama yake mzazi na ndipo alipo mwambia Profesa kuwa ni kweli amepata ajali na anakwenda hospitalini. 
 
Katikati ya ule muda aliotumia Profesa Kufika Hospitalini, Mama Yake Mzazi Bi Rosemary Majanjara Alifariki Dunia. Pole kwa Familia Ya Profesa Jay, Ndugu na Marafiki Zao.