Wednesday, July 24, 2013

Wafahamu wakongwe watatu katika R&B waliunda kundi TGT..

File:3 Kings (album).jpg
TGT ni kundi la R&B lililoundwa mwaka 2007 likiwakutanisha  wasanii watatu wenye mafanikio katika R&B,Tyrese,Ginuwine,na Tank . Wote watatu wamekuwa marafiki kwa kipindi kirefu  Tyrese  alikuwa best man katika ndoa ya Ginuwine ..

 Ngoma ya kwanza kufanya pamoja ilikuwa ni remix ya  wimbo wa  Tank "Please Don't Go".na pia wote watatu wakashiriki  kwenye single ya slim thug single "Let Me Grind".
Katika  interview, Tyrese  alisema kundi hili litakuwa ni la kihistoria miongoni mwa mashabiki wa r&b kwa kuwa wote kwa pamoja wamekuwa wakikitengeneza kitu hicho kwa muda mrefu  "hili linaleta maana kwa kuwa wote ni waimbaji wa  R&B na ni marafiki wazuri tumekuwa tukionanana mara kwa mara’’amesema Tyrese..
Sikiliza single yao yakwanza kuitoa Sex Never Felt Better

Pia wako na mpango wa kutafuta member wanne katika kundi hilo
Kundi hili lilikutana na wakati mgumu kufuatia member wote walikuwa wamesign katika label tofauti tofauti ,kutokana na hilo wakachelewa kutoa albam ya pamoja,
September 22, 2012, Tyrese alitangaza kupitia twetter kuwa TGT kama kundi wamesign  Atlantic Records ,na kwasasa wanafanyia kazi albam yao ya kwanza ambayo inaitwa 3 kings na itatoka  August 20, 2013.
TGT watizame wakifanya performance ya single yao mpya ''I need'' kupitia kipindi cha ' The Couch''

Track listing
No.
Title
Writer(s)
Producer(s)
Length

1.
"Take It Wrong" (featuring Black-Ty)
2.
"No Fun" (featuring Problem)
3.
"Sex Never Felt Better"  
4.
"I Need"  


4:35

5.
"Next Time Around"  
6.
"Interlude"  
7.
"Hurry"  
8.
"Weekend Love"  
9.
"Interlude"  
10.
"Lessons In Love"  
11.
"Explode"  
12.
"FYH"  
13.
"OMG"  
14.
"Running Back"  
15.
"Burn Out"  
16.
"Tearing It Down"  
17.
"Our House"  
SINGLES
·  "Sex Never Felt Better"
Released: February 14, 2013
·  "I Need"
Released: July 2, 2013

0 comments: