Sunday, July 14, 2013

Ice Prince kufanya kazi na French Montana ‘Fire of Zamani’

ice prince and french montana

mkali kutoka nigeria Ice Prince baada ya kuchukua tuzo BET week iliyopita kupitia International Act: Africa amedhibitisha kufanya collabo ya kimataifa na member wa Bad Boy Records/MMG French Montana.Ice prince anatarajia kuachia ngoma alioipa jina la Fire of Zamani  akiwa na rapper huyo wa marekani ambaye ni mzaliwa wa morocco..
Studio Finally! With @frenchmontana, and we made a Classic!!! Stay Tuned..‘,
Ice Prince aliandika maneno hayo  Instagram na kuambatanisha picha akiwa na Montana ..‘Fire of Zamani’ inatarajia kutoka  September 7, 2013.

0 comments: