Monday, July 22, 2013

Msala wa kurushiana chupa ,Drake na Chris Brown wafutwa..Habari njema kwa Drake na Chris Brown wamefutiwa madai ya dola million 16 na GreenHouse nighthouse kufuatia ugomvi wa kurushiana chupa walio usababisha katika nightclub  hiyo mwezi june mwaka jana..

  Club hiyo ilitaka kulipwa pesa hizo kwa madai club hiyo pamoja na uharibifu uliotokea  ilitangazwa vibaya kitu kilichosababisha hasara.
 
Drake alipingana na madai hayo akidai hausiki na kutangazwa vibaya kwa club hiyo kitu ambacho kiliungwa mkono na jugde wa kesi hiyo
 

0 comments: