Thursday, July 25, 2013

PNC:''LongoLongo za wasambazaji siwezi kutoa albam ya pili''


Wewe hit maker PNC amepiga story na SwahiliInfo.kuhusiana na kazi zake za muziki ,kikubwa alichozungumzia ni kukataa kutoa albam ya pili kutokana na longolongo zilizopo kwenye usambazaji..

Pnc alisha wahi kutoa albam mwaka 2008 alioiita UZURI ikiwa na  hit kama Mbona feat Mr blue ,Nalia ,na Rudi Feat..Fid Q ’’ nilipotoa albam ya kwanza nilipata usumbufu sana wakati wa kufuatilia malipo yangu naweza enda kufatilia kugonga kopi nyingine alafu wanakwambia zile za mwanzo hazijaisha wakati ukizunguka mtaani albam inauzika sana’’amesema Pnc
Na kuhusiana na management yake ya ustaz juma ‘’saivi ni kama na hustle tu mwenyewe ustaz ndo hivyo haeleweki ila huwa ananisaidia kwenye mambo ya video basi vitu vingine nafanya mwenyewe’’amesema Pnc ambaye hivi sasa ana ngoma mpya ya ‘’wewe’’
Isikilize hapa PNC -WeWe

0 comments: