Wednesday, July 31, 2013

DJ KHALED AKUBALI KUWA ULIKUWA NI UTANI KUMTAKA NICKI MINAJ.
Baada ya kushikilia msimamo wake kuwa yupo serious kutaka kumuoa nicki minaj kufuatia interview alioifanya na MTV news, hatimaye Dj Khalid amekili kuwa alikuwa anafanya utani .

 Dj Khaled amesema “nilikuwa nafurahisha tu katika hili ,ili kuonesha  upendo ,na nilikuwa nataka kuteka attention ya fans kwa ajili ya ngoma yangu ‘I wanna be with you ’nilitaka ujumbe ufike fresh ,nilikuwa natania ,tulikuwa busy kutengeneza hits na nilipanga kuitambulisha ngoma kiutofauti na sio kuitoa tu kikawaida’
 Khaled ameendelea kusema anazani alifanya vizuri wakati akimuomba ndoa kwa nicki ,
sikiliza full interview DJ Khaled akipiga story na  T.T Torrez

0 comments: