Thursday, July 04, 2013

MISS INTER UNIVERSITY kufanyika leo JIJINI DAR ..

Washiriki wa Mashindano ya Miss Inter University Dar es Salaam, wakiwa katika mazoezi ya katika Ukumbi wa Sansiro Dar es Salaam jana kujiwinda na Onyesho litakalofanyika Leo july 5 katika Ukumbi huo wa Sansiro, washindi wataungana na washindi wa kanda zingine kuunda kikosi cha Tanzania katika mashindano ya Vyuo Vikuu Tanzania..

0 comments: