Tuesday, July 02, 2013

ujumbe wa Ray C kwa fAns wake...

 Mwanadada Ray C ambaye kwasasa kwasasa anapigana kurudi katika hali yake baada ya kuwa ameathirika na matumizi ya madawa ya kulevya ,


amevunja ukimya na kuamua kuwatumia ujumbe fans wake akiashiria anaendelea vizuri ,na bado anawapanda kutokana na support walimuonesha kwa kipindi chote alichokuwepo kwenye game ya bongoflava.



huu ndo uchumbe aliouachia kupitia ukurasa wake  wa instagram ,ameachia ujumbe huu kwaajili ya mashabiki zake na kuwashukuru kwa support yao.

0 comments: