Wednesday, July 17, 2013

audio;Joh makini akizungumzia albam ya pamoja na nikki wa pili...

 

Ndugu wa wawili kutoka WEUSI , group la hiphop  linalowakilisha kaskazini mwa Tanzania Joh Makini na Nikki wa pili baada ya kufanya kazi nyingi pamoja sasa wameamua kutengeneza albam ya pamoja ..


Nikki wapili alikuwa wakwanza kutoka info za yeye na kaka yeke kufanya albam ya pamoja kupitia twetter # Nick Mweusi@nikkwapili 16 Jul JOHMAKINI NA NIKK WA PILI KUJA NA ALBUM YA PAMOJA STAY TUNE AT WEUSI RADIO STATION..GNAKO ON THE WAY CUMNG, SALU T PIA..WEUSIII
Baada ya tweet hiyo Exclusive SwahiliInfo imepiga story na Joh Makini ili kupata taarifa za kiundani ‘’ni kitu ambacho tumekaa kama team weusi na washikaji wengi wamekuwa wakishauri kwanini kusiwe na albam ya  Joh Makini na Nikki wa Pili kwa kuwa wote ni watu wenye mafans ,kwahiyo tumekaa tumeona tuanze hii project, project imeanza jana usiku ‘’ amesema joh makini

Natayari mpaka sasa wamesha tengeneza ngoma moja ambayo inaitwa ‘’Bei ya mkaa ‘’ngoma ambayo inazungumzia maisha halisi ya mtanzania ,nakuhusiana na jinsi itakavyo sambazwa ‘’this one we do it for the people tutauza katika mfumo wetu ule ule ,tutaifanya kwa ajili ya watu zaidi’’Joh amesema bado haijajulikana nani nanani nje ya weusi watakao shirikishwa wala tarehe rasi ya kutoka kwa albam hiyo..

Msikilize Joh Makini hapo chini

0 comments: