Friday, July 12, 2013

WANYAMA :MKENYA WAKWANZA KUCHEZA EPL

Kiungo wa kimataifa wa Kenya amesajiliwa rasmi na klabu ya Southmpton ya England akitokea klabu ya Celtic ya Scotland.
Wanyama ambaye alikuwa akitakiwa na vilabu kadhaa ikiwemo Arsenal na Liverpool, amesaini mkataba wa miaka minne kuichezea Southmpton iliyonusurika kushuka daraja msimu uliopita.
 
Ada ya uhamisho wa Wanyama ambaye anakuwa mchezaji wa kwanza kutoka Kenya kucheza kwenye EPL, haijatajwa mpaka sasa.
Wanyama alitumia ukurasa wake wa Twitter kudhibitisha uamisho huo
https://lh6.googleusercontent.com/-WmjTrmaFE-w/Ud7_8_OIl1I/AAAAAAAAj5o/zc9cmFyiDp4/s640/blogger-image-651454597.jpg

0 comments: