Friday, July 12, 2013

fans wam-maindi prezzo baada ya kum-diss Diamond !

Prez1
 Tweet ya prezzo iliotafusiria kama tusi kwa kumu-enjoy diamond na mdomo wake..
Jamaa hakuishia hapo aliendelea kutweet kuhusu diamond


 Prez2 
Baada ya Jackson Makini aka Prezzo  kuonekana kumdiss diamond kupitia tweets alizo ambatanisha na vipande vya magazeti yaliokuwa yakiwazungumzia juu ya show ya Matumaini iliofanyika week end iliopita,fans wamemshukia mzee huyo wa bling bling prezzo kupitia twetter !
soma  comment hizo hapa chini..

Edwin Mwashegwa: ah, Diamond achana na huyu mbulula, wewe unda hela!, bifu za kisenge hazifai.
Githaiga Andrew: Prezzo umepita hiyo age ya beef za kishenzi. Ingia studio utoe kitu, otherwise kwa musiki diamond ako juu. I feel you bro! anything to remain relevant and grab some headlines.
Bellah Ongachi: aaarggh Diamond is waaayy better.. n am sure by the time he hits the years prezzo has stayed in the entertainment scene he'll be miles ahead..so your thing diamond.
Caroline Karijo: Mhhhhh who even listens to to him Jaguar and Diamond r much better than him n we all knw,,,,,,, he can continue playing women who stoops low for him.
Yvonne De Cole: Prezzo ni wivu nini,,,, leave the highest paid musician in East Africa alone,,, ana mulla en he is still simple doesn floss,,,, prezzo inherits yet flosses
De Sheriff: Diamond, silence is the best weapon. let the baby throw tantrums. Prezzo, its tym to mature up.

0 comments: