Friday, July 12, 2013

FAHAMU :NICKI MINAJ KUINGIA KATIKA MOVIE INDUSTRY ..Nicki Minaj amesema ataingia katika uigizaji wa filamu baada ya kutoa albam nyingine za rap....
Baada ya kujitoa kuwa jugde katika   "American Idol", Nicki Minaj amezungumzia mipango yake ya kuendelea kuwepo katika rap at the same time kuingia katika movie ,akiwa anajiandaa kutokea katika film ya Cameron Diaz "The Other Woman" na Nick Cassavetes akiwa ndo director.
Akipiga story na Marie Claire magazine ungumzia uwoga alionao katika movie yake ya kwanza kuifanya


"I was like, 'kwanini hayu mtu anaimani na mimi .akasema nimekuwa nikikutizama kwenye idol uko poa sana ,naamini ntakuwa vizuri na siwezi kutaa kama sikuwa na uwoga.
Nicki pia akasema  ataamia rasmi katikam uigizaji baada ya kutoa albam kadhaa bza rap
" at least nataka kufanya  albam tatu nyingine ,nikifanya hivyo ntajihisi nimemaliza ,labda ntaanza kuigiza ,nimekuwa mtu ambaye nafanya vitu ambavyo hakuna anaezania ntafanya”amsema nicki minaj

0 comments: