Thursday, July 04, 2013

Kobe Bryant ndo mcheza wa NBA mwenye Utajiri mkubwa...

 kampuni Wealth-X -ambayo imekuwa ikitoa takwimu za utajiri wa wachezaji wa mpira wa kikapu nchini marekani katika ligi ya NBA, kwa kuangalia mshahara wa mchezaji pamoja na vyanzo vingine vya pesa .

kampuni hiyo imemtangaza Kobe Bryant aka Black Mamba ambaye anachezea  Los Angeles Lakers   ndie mchezaji wa ligi hiyo kwasasa mwenye utajiri mkubwa /highest net worth/kwa kuwa na utajiri wa  dola million 220 , akifuatiwa na mchezaji wa  Brooklyn Net, Kevin Garnett.  LeBron Raymone James aka "King James", Miami Heat anakamata nafasi ya tatu katika list hiyo  huku Tim Duncan San Antonio Spurs na Ray Allen wa Miami wanakamilisha top five katika list hiyo..

1. Kobe Bryant (Lakers)/$220 million
2. Kevin Garnett (Nets)/$190 million
3. LeBron James (Heat)/$130 million
4. Tim Duncan (Spurs)/$100 million
5. Ray Allen (Heat) $100 million

0 comments: