Sunday, July 14, 2013

Obafemi Martins apamba viti vya nyumba yake kwa jezi za timu alizowahi kuchezea...

 
Mchezaji raia wa Nigeria Obafemi Martins 28 ameamua kuonesha heshima katika club alizo wahi kuziochezea kwa kuweka cover za jersey za timu hizo kwenye viti vya nyumbani kwake vilivyopo   sehem ya kulia chakula  
Martins ambaye ameshachezea club zaidi ya nane ikiwemo Reggiana, Inter Milan, Newcastle, Wolfsburg, Rubin Kazan, Birmingham, Levante na sasa anacheza liga ya marekani  MLS  katika club ambayo mtanzania Mrisho ngasa alishakufanya majaribio Seattle Sounders.

Martins katika viti hivyo vya  dining room  amewekea macover ya jezi zikiwa na number aliokuwa anaivaa katika timu husika pamoja na jina lake ..

0 comments: