Monday, July 29, 2013

KUMBE DJ KHALID KUMTAKA NICKI MINAJ ILIKUWA NI KICK YA NGOMA YAKE MPYA 'I WANNA BE WITH YOU''

IFWT_nicki_khaled_1

Funkmaster Flex wa Hot 97 jana Alimpigia simu Nicki kuielezea video hiyo  ya MTV News iliyomuonesha Dj Khaled akielezea jinsi anavyompenda rapper huyo na pia kutoa pete ya thamani aliyopanga kumvisha.

“Nilishtuka kama dunia yote, nilikuwa nikicheka kama wengine DJ Khaled ni master katika kile anachokifanya,”alisema Nicki.

 

KUMBE, Khaled alirekodi video hiyo kupigia promo single yake mpya kutoka kwenye albam yake mpya Suffering From Success, “I Wanna Be With You” aliyomshirikisha Nicki, Future, na  Rick Ross.

“Ilikuwa ni njia nyingine ya yeye kuionjesha dunia feeling ya wimbo huo. Nobody in my real life took it seriously. Everybody just hit me like, ‘LOL. Yo, Khaled is crazy.”

Nicki alionesha kupuuzia maaombi ya Dj Khalid kuwa mume na mke kwa madai ni kaka yake.

“Khaled is my brother and Khaled was not serious with that damn proposal, ya’ll. Please let it go. He was kidding. He’s not attracted to me, he doesn’t like me. We’re brother and sister.”

Licha ya Nicki kukataa, Khaled amendelea kuwa serious na mpango wake huo hasa baada ya weekend hii kuongea kwa simu na DJ Felli Fel wa Power 106.

“She might say yeah tonight or tomorrow, she might say yeah next year. What am I gonna do, give up? Never. I ain’t never give up on nothing I do,” alisema.

Hata hivyo baada ya interview ya Nicki, Dj huyo alitweet: “Salute @NICKIMINAJ!!! … Bringing the excitement back to the game!
Sikiliza hapo chini ...i wanna be with you -dj khalid feat feat  future, Nicki Minaj na Rick Ross

0 comments: