
July 6 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya mchekeshaji Kevin Hart alikuwa anatimiza miaka 33,Birthday Party ilifanyika Hollywood sambamba na kuzindua stand up comedy yake "Let Me Explain." alipewa kampani na Chris Paul, The Game, Terrance J, DeRay Davis Damien Dante
Wayans!!
-

Kevin Hart's Birthday Cake

Chris Paul naThe Game wakifurahi na Kevin

Terrance J na Kevin Hart

Hennessy V.S Brand Ambassador Jerry Lorenzo alongside Kevin Hart and Damien Dante Wayans
0 comments:
Post a Comment