Wednesday, July 17, 2013

VIDEO ;LL COOL J NI KAMA AMEDISS MAUZO YA ALBAM YA JAY Z “Magna Carta”

LL Cool J Performing

Legendary rapper LL Cool J ameonekana sio shabiki mkubwa wa rapper anapendwa na watu wengi Jay-Z.kwa kuonekana kupinga mauzo ya  albam mpya ya jay “Magna Carta Holy Grail.” Ambayo ilitangazwa platinum katika siku yake ya kwanza kutoka ,mwanzo walishawahi kukwaruzana wakati Jay  z akiwa rais wa Def Jam na LLakiwa katika iyo label akasema kufanya vibaya kwa albam yake ya  “Todd Smith”  ni kwasababu haiku promotiwa vizuri  ..


Akiwa kwenye interview na Revolt TV, LL Cool J ametoa mawazo yake kuhusiana na albam ya jay z iliotangazwa platinum kwa siku ya kwanza kufuatia kuuzwa kwa kutumia application za  Samsung. Kwa mujibu wa LL Cool J,kuuza nakala million kwa kutumia kampuni ambayo wateja wake wanapata albam kwa kudownload kupitia application ya simu ,si sawa na watu million ambao wananua albam.’’number ni number ,katika number kuna ukweli lakini katika kuwagusa watu kuna utofauti ‘’amesema LL Cool J
LL akaendelea kusema kwangu mimi kama msanii  naitaji kumgusa mtu moja kwa moja ,bado nauhakika mtu mmoja mmoja anauwezo wa kwenda na kununua albam yangu  “japo bado nafikiria mauzo ya nakala million ni million,lakini ningependa kuona watu million wananunua albam sio kampuni inanunua copi million za albam yangu’’amesema LL cool J wakati akitioa mawazo yake kuhusiana na mauzo ya albam mpya ya z “Magna Carta Holy Grail.”


0 comments: