Monday, July 01, 2013

Jay Z azungumzia Illuminati kwenye Track mpya Heaven...


Jay-Z ameachia mashahiri na ngoma ya  "Heaven," ambayo itapatikana kwenye albam yake mpya "Magna Carta Holy Grail."katika ngoma hiyo ambayo jay ame sample lyrics kutoka kwenye hit song ya  REM  "Losing My Religion," ya mwaka  1991 ,
katika hiyo track Jigga amezungumzia fununu ambazo anahusishwa nazo kwa muda mrefu kuwa anaamini dini ya kishetani Illuminati Jay kupitia track hiyo ameelezea kuwa watu wanampigia kelele kama ni Illuminati ,wanashindwa kuamini kama ujuzi na nguvu alizo nazo vinaweza kupatikana kwenye mwili wa mwanadamu.."Conspiracy theorists screaming Illuminati/ They can't believe this much skill is in the human body/ He's 6'2 how the (expletive) he fit in a new Bugatti/..Question religion/Question it all/ Question existence/ Until them questions are solved."amerap jay z..
 check baadhi ya mashahiri..

0 comments: