Sunday, June 30, 2013

Hit-Boy/Producer alie tengeneza Hits kibao za KanyeWest alijitoa G.O.O.D Music

 
Rapper na Producer Hit-Boy ambaye amehusika kutengeneza hits nyingi za Kanye na G.O.O.D music  ameweka wazi maamuzi yake ya kutoendelea kufanya kazi na label ya Kanye G.O.O.D mUSIC .
Hit boy ndie alihuska kuproduce "Niggas In Paris" ya Jay z na Kanye west, "Cold", "I Wish You Would", and "Clique"ambayo ndani yake yupo Big sean ,Jay Z na kanye

Jamaa anasema hajaondoka vibaya na hakuna beef kat yake na kanye “I got nothing but respect for Kanye,but I’m no longer a part of G.O.O.D. Music anymore.” he said. "HS87 is where my heart is,that’s what I’m reppin”.
Hit-Boy kwasasa amejiunga katika label ya Gee Robertson/ Hip Hop Since 1978/Hit-boy anakuwa member wa pili kujitoa G.o.o.D Music kwa mwaka huu baada ya Kid Cudi kujiondoka kwa sababu hizohizo...

0 comments: