Wednesday, June 19, 2013

Huenda hili ndo likiwa jina la Mtoto wa Kanye na Kim..

baada ya jana june 18 Kanye West officially kudrop mtaani albam yake ya sita Yeezus leo hii jina la mtoto wake aliempata na Kim Kardanshian amejulikana jina aliopewa ,mtoto huyo wa kike amepewa jina la "Kaidence.


Kim alijifungua jumamosi  (June 15) pande ya Cedars-Sinai Medical Center in Los Angeles.kwa mujibu wa  MediaTakeOut.com, jina lote la mtoto huyo wa kanye west anaitwa Kaidence Donda West. jina kilo la kwanza ka mtoto huyo linawakilisha mtililiko wa maneno katika shahirina jina lakatikati  Donda linawakilisha marehem mamayake Kanye Dr. Donda West.
mpaka sasa hakuna taarifa ya mmoja kwa muja kutoka kwenye familia ya kanye kuhusiana na jina la mtoto huyo lakini inadaiwa waliku
baliana jina la mmto huyo lianze na k

0 comments: