Thursday, June 20, 2013

Shabiki Atishia kumuuwa mdogo wake endapo J. cole asipo jibu tweet yake...


Shabiki mmoja wa kike wa j cole amejikuta anaingia matatizoni kufuatoa alichokiandika kwenye twetter .

Binti huyo mwenye miaka kumi na tisa alimtweet j. cole na  kumtaka ali Re-tweet ili anunue albam yake mpya ya Born Sinner na asipo Re-Tweet anamuuwa mdogo wake ..

 Nakatika tweet hiyo akaambatanisha na picha inayomuonesha amemuoneshea Gun mdogo wake huyo wa kike ..

sasa kutoka na ujumbe na picha hiyo police pande za Taxes wanamfanyia uchunguzi binti huyo ambaye amedaiwa kuomba msamaa na kusema hakuwa anamaanisha bali ulikuwa ni utani kwa kuwa alijua ni wazi Jcole hawezi ku Re-Twetter Tweet yake

0 comments: