Wednesday, October 31, 2012

Fabrice Muamba Marries Girlfriend 7-months after Heart Attack..

0 comments

                            Kushoto..Muamba na wife wake Shauna,,,Van Persie alihudhulia ndoa hiyo..

Tuesday, October 30, 2012

Akon amsaini Konvict mtoto wa mtaani kutoka kenya mwenye miaka 14, story yao ni kama movie. ..

0 comments


Wiki hii imeanza na zali zaidi ya lile la mentali kwa mtoto ambae alikuwa anaishi katika mazingira magumu sana nchini Kenya, inaweza kuwa ni ndoto aliyoota imekuwa kweli na kama hakuwahi kuota basi Mungu amemsapraiz na kujikuta anapata deal la uhakika la kufanya muziki chini ya lebel kubwa duniani ya ‘Konvict Muzik’
Mtoto huyo Wilson alimsimamisha Akon jijini Nairobi juzi wakati anaelekea kupiga show katika ukumbi wa Nairobi Carnival na akaona kabisa kuwa hii ilikuwa ni chance ya yeye kumueleza Akon ya moyoni na sio kumuomba mkwanja kama wafanyavyo wengine…ila ni kumuomba kujiunga na lebel ya Konvict. Duh, unaweza kudhani mtoto huyo alikuwa mwehu eeeh…dogo alirusha mkuki vizuri!!
Baada ya Akon kukubali kusimama tu mtoto huyo alizitumia dakika chache kumsimulia hali mbaya ya maisha aliyonayo na jinsi ambavyo baba yake alivyomtesa na kulazimika kulala nje, akaeleza jinsi gani anavyoupenda muziki na hana jinsi ya kuweza kuingia studio kurekodi. Surprisingly, Akon akaamua kumpa nafasi, akaruhusu aingizwe kwenye gari lake na wakaelekea wote kwenye concert yake.
Hatujui nini kiliendelea kwenye gari lakini inaonekana waliendelea kuongea kuhusu yale waliyoyaanzisha. Na haikuwa rahisi kwa Akon kumpa nafasi kirahisirahisi tu.
Wakati anaendelea na performance yake mkali huyo toka Senegal alimuita stejini yule dogo. Kwa mara ya kwanza kwenye jukwaa kubwa kama lile…Akon akamkabidhi dogo mic na kumwambia aperform!
Ni kama ulikuwa mtihani wa mwisho kwa dogo huyo ambao ungemtoa lawama Akon kirahisi, dogo alifunika vibaya na kuonesha kipaji kikubwa alichonacho.
Haikuhitaji press release ama press conference kutangaza uamuzi…Akon alichokifanya alishika mic na kutangaza mbele ya umati wa watu, “Wilson the newest member of the Konvict family”. Ni hivyo tu dogo anachukua pipa kwenda kuishi ndoto zake Marekani.
Huyu ni mtoto wa kiafrika mwenye story ya mafanikio inayofanana na ya Akon.

Monday, October 29, 2012

TATTOO MPYA YA JUSTIN BIEBER..

0 comments
Ndo kwanza akiwa na miaka 18 Justin Bieber ,amezidi kuonesha mapenzi yake na kujichora tattoo,ambapo ndani ya week chache kajichora tattoo mbili mpya..

Ngoma Mpya..Ne-Yo – Should Be You f. Diddy & Fabolous

0 comments
 Hii ni track mpya ya Ne-Yo kutoka kwenye albam yake mpya RED ,Itakayo ingia mtaa Nov 6....
Isikilize hapa.

Sunday, October 28, 2012

SHABIKI WA NICKI MINAJ ,HUSIKA NA HII...

0 comments
ANAKUJA NA KIPINDI CHA TV...KITAANZA KUONEKANA SIKU CHACHE KABLA ALBAM YAKE MPYA HAIJAINGIA MTAANI..

Wakati akijipanga kutoka na albam yake mpya .Pink Friday: Roman Reloaded (The Re-Up) Nicki Minaj ameweka wazi ujio wa reality show ,itakanyokuwa ikiruka katika television E!network ,series hizo zitakuwa zikionesha maisha yake ya kila siku ,female rapper Nicki Minaj ..itanza rasmi November 4th.
Mchongo huo umejulikana baada ya kuandika kwenye ukurasa wake wa Twetter.


MAJANI BEATZ Vol 1 Coming soon..

0 comments

DRAKE ATOA SPEECH WAKATI AKIMALIZA HIGH SCHOOL..

0 comments
Baada ya kumaliza high school, Drake atoa speech katika sherehe za mahafari Drake mwenye umri wa miaka 26 alisima juu ya jukwaa la mahafari huko kwao Toronto, Canada.na kumshukuru mwalim wake Kim Janzen,kwa msaada aliompa kukamisha malengo yake. 

"nikiwa nimesimama mbele yenu, napenda wote muelewe,nimepata kile nilichoitaji,kile ambacho kila mmoja anahitaji kutoka hapa,muhimu sio vitabu tulivyosoma , sayansi au hesemu tulizofanya.nivingi kuhusu maisha tumejifunza” 
 
Sehem ya speech aliotoa Drake..

Watch Drake's graduation speech below.

Saturday, October 27, 2012

KUTOKA FACEBOK...

0 comments

BRUNO MARS ,ACHIA ALBAM COVER ya Unorthodox Jukebox.

0 comments
Hi ni albam ya pili ya bruno Mars

Unorthodox Jukebox Tracklisting
1. “Young Girls”
2. “Locked Out of Heaven”
3. “Gorilla”
4. “Treasure”
5. “Moonshine”
6. “When I Was Your Man”
7. “Natalie”
8. “Show Me”
9. “Money Make Her Smile”
10. “If I Knew”

OMMY DIMPOZ ANANZA KUTUMIA BODYGUARD....

0 comments
Dimpozi  akiwa na Bodyguard wake....hii ilikuwa jana kwenye show aliofanya DAR LIVE..

       Bodyguard na Manager wake  Dimpoz ,Mubenga....


Friday, October 26, 2012

MAKAZI MPYA YA RAPPER TYGA ,CALABASAS CALIFONIA...DHAMANI YAKE NI DOLA MILION 6.5..

0 comments

                                                 Front of Tyga's $6.5 Million Calabasas home
                     Theater inside of Tyga's $6.5 Million Calabasas home

       Backyard/Lounge area at Tyga's $6.5 Million Calabasas home

                         Pool area at Tyga's $6.5 Million Calabasas home
 Tyga amehamia kwenye mjengo huu, baada ya kupataBaby boy ,na Girlfriend wake Blac Chyna....