Thursday, October 18, 2012

Jordin Sparks na Jason Derulo wazungumza kuhusu ndoa..


Jordin Sparks akipiga story na US Weekly amefunguka kuwa yeye na boyfriend wake R&B star Jason Derulo wapo katika mazungumzo ya kufunga ndoa

Sparks “amesema tupo katika katika mazungumzo na kila mmoja anaogopa,lakini hatuna haraka “

0 comments: