Saturday, October 06, 2012

Eti beef ya Nicki Minaj Mariah haijanza leo..!


Wote tulizani beef hii ni mpya ,lakini reports zinasema Nicki Minaj alishawahi kuonesha kuto kumuheshimu Mariah miaka miwili iyo pita..hivyo mgongano uliotokea week hii kwenye meza ya “American Idol” sio mara ya kwanza..

Nicki na Mariah walikutana 2010 kutengeneza video ya  “Up Out My Face.”
.
Kwamujibu wa B. Scott ambaye alionekana kwenye hiyo video anasema who appeared in the video said Nicki was a b*tch.

“Mariah allitaka kuwa poa kwa nicki ili awe comfortable.” Lakini niki Nicki alileza U b*tch, “akimkazia uso Mariah huku akitoaka rude comments

Lakini, sources zingine zinasema Nicki kakanusha habari hizo 
 Wajuzi wa mambo wanasema huenda ikiwa ni sehemu ya kipindi na hakuna chochote kibaya..

0 comments: