Wednesday, October 03, 2012

Justin Bieber arudisha “chenji” on stage - Video


Mkali wa ngoma Baby ,as longer as you love me,na nyingine kibao Justin BIEBER, akiwa kwenye show yake ya kwanza katika Believe world tour, pande za Jobing Arena in Glendale, Arizona aliwashtua fans baada ya kutapika jukwaani mbele ya audience.
Katika kipande cha film kichopatikana mtandaoni bieber ilibidi asimame kwa sekunde kadhaa ili aweze kujisevia ..na kIsha awauliza fans wake, “Will you love me even tough I’m throwing up on stage?”
Pamoja na hayo yote Bieber hakuruhusi afya yake kuaribu show,hivyo akaendelea na  performance kama ilivyopangwa.
Baadaye akapost picture akiwa kitandani na akaandika  
“Great show. Getting better for tomorrow’s show!!!! Love u (sic)… And… Milk was a bad choice! LOL (laugh out loud).”


0 comments: