Tuesday, October 23, 2012

Baada ya Young Jeezy,Gucci Manne amdiss young Joc..


young Jeezy si rapper pekee kutoka Atlanta mwenye beef na Gucci Mane. Gucci kupitia new mixtape "Trap God",amemchana  Yung Joc kwenye ngoma inaitwa "F*** The World". Kwenye hiyo verse, Gucci amedai Yung Joc kaishiwa mkwanja
"I got all eyes on me like Pac did/ But I ain't trying' to go broke like Joc did/ I ain't trying' to f*** my deal up like Block did."
Hiyo ni sehemu ya hiyo verse
Gucci pia akaipleka  beef hiyo kwenye Twitter. He tweeted sunday afternoon, 0 comments: