Monday, October 01, 2012

T-Boz wa TLC kuja Reality Show: 'Totally T-Boz......


Tionne "T-Boz" Watkins, aliyewahi kuhit miaka ya 90 akiwa na kundi la TLC, jia kuja na reality TV Show ambayo haitahusisha kundi lake TLC
Show itaitwa "Totally T-Boz" itaruka kwa kipindi cha 2013. Na ukumbuke T BOZ Alisha pitia mafaili ya kufilisika mwaka jana……
Fact , TLC is the second best-selling female group overall and the best-selling female R&B group ever.
TMZ wameriport kwamba show ita focus  kwa Tionne, 42, kama single mom anayeishi Atlanta at the same time anajaribu kurudi katika music career. Hakuna taarifa zozote mpaka sasa kama TLC member Rozonda "Chilli" Thomas ataonekana natka show hiyo ..member wa tatu wa kundi hilo Lisa "Left Eye" Lopes . Alifariki kwa ajali mwaka  2002

T-Boz and Chilli mapema mwaka huu walikuwa na mipango ya kuachia material mpya …

0 comments: