Friday, October 12, 2012

KING OF RAP nchin Kenya COLLO..Atambulisha Albam na ndinga mpyaa..


Former Kleptomaniax rapper Collo wengi tunamjia akijiita KING OF RAP ,Jamaa anasema sometime katika maisha kunaumuhimu wa kutofautisha boys and men. His new ride, a Mercedes Benz S320, is what he calls how Kings roll.

Inaonekana music kumlipa Collo tangu alipo anza kufanya solo project kuachana na  Kleptomaniax. Last week aliachia debut album kwa style ya aina yake kipande cha  KICC .
inaitwa album ‘since 85’ ikishirikisha wakali kama  Sauti Sol, Didge, Abba, Octopizzo na  Ameelena.

 ‘chini ya maji’ ndo single ya kwanza kutoka kwenye albam hiyo na imefanya vizuri sana nchini Kenya 


0 comments: